Trend Zilizo emerged Kwenye Runways za New York Fashion Week - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Trend Zilizo emerged Kwenye Runways za New York Fashion Week

Hello


Wapenda trend au wazifatilia???


Kwenye New York Fashion Week kuna baadhi ya trends ambazo zimeonekana,so unajua kabisa hizi ndo zina kiki na zinakuja ku kiki zingine.cargo pants zimerudi ,hizi bongo hazijawahi kupitwa na wakati


Yellow 


puffy sleeves/mikono ya kujaa


white 


dye/batiki flani hivi


suti up


pvc


Crotchetbelts


floral earrings


tassels on a whole new level


turbans


hooped earrings 


over sized bracelets long necklace


geometric earrings

... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More