Trump aikosoa Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Trump aikosoa Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya

Rais Donald Trump amesema Uingereza huenda haitapata mikataba ya kibiashara na Marekani iwapo itaendelea mpango wake wa kujitenga na jumuiya ya Ulaya


Source: BBC SwahiliRead More