Trump ayataka mataifa ya NATO kuongeza bajeti ya ulinzi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Trump ayataka mataifa ya NATO kuongeza bajeti ya ulinzi

Rais Donald Trump amewataka washirika wa NATO kuongeza kiasi cha fedha mara mbili zaidi kwaajili ya kuongeza bajeti ya ulinzi ambayo kwa sasa wanachangia asilimia mbili tu


Source: BBC SwahiliRead More