Trump, Kim wawasili Singapore,kuzungumza ana kwa ana - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Trump, Kim wawasili Singapore,kuzungumza ana kwa ana

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa kuwa wa kihistoria


Source: BBC SwahiliRead More