Try Again avunja ukimya Msimbazi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Try Again avunja ukimya Msimbazi

“Simba bado ipo kwenye kipindi cha mpito kwa sasa, mwenendo wa mpango huu wa mabadiliko sio mbaya kulingana na muundo ambao tunautengeneza. Tunaposema kuna vitu vinakwenda kwa pamoja kwa maana ya timu na maendeleo ya klabu, hivyo sio kitu kibaya mpaka sasa tukiangalia mchoro wake iko vizuri.” Hayo ni maneno kutoka kwa Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah anavyoanza kuilezea klabu yake juu ya sasa ilipo.


Source: MwanaspotiRead More