Tshabalala awapa matumaini Simba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tshabalala awapa matumaini Simba

Wawakilishi wa Tanzania kwenye ligi ya mabingwa Afrika Simba, kesho watakuwa uwanjani kucheza dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo mwingine wa hatua ya makundi ambao utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni katika uwanja wa taifa.


Nahodha wa Simba Mohamed Hussein Tshabalala amesema wachezaji wote wanatambua umuhimu wa mchezo huo, wanawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kwa ajili ya kuwapa support.Source: Shaffih DaudaRead More