TTCL YAZINDUA ENEO LAKE LA MAPOKEZI LIKIWA NA SEHEMU MAALUM YA MAONESHO YA KIHISTORIA YA MAWASILIANO NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TTCL YAZINDUA ENEO LAKE LA MAPOKEZI LIKIWA NA SEHEMU MAALUM YA MAONESHO YA KIHISTORIA YA MAWASILIANO NCHINI

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Mhandisi Omari Rashid Nundu (wa pili kulia) akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa eneo la mapokezi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lililopo Makao Makuu ya shirika hilo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba akishiriki uzinduzi huo.

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Mhandisi Omari Rashid Nundu (wa kwanza kulia) akizungumza na wageni mara baada ya kuzinduwa eneo la mapokezi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lililopo Makao Makuu ya shirika hilo, jijini Dar es Salaam. Anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba akizungumza na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa eneo la mapokezi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lililopo Makao Makuu ya shirika hilo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Mh... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More