TUGHE MKOA WA TEMEKE WATOA MSAADA KWA YATIMA WA KITUO CHA HIARI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TUGHE MKOA WA TEMEKE WATOA MSAADA KWA YATIMA WA KITUO CHA HIARI

Wafanyakazi wa  Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wa Mkoa wa Temeke, wakiwa wamewabeba watoto Yatima wanaolelewa katika Kituo cha Hiari kilichopo Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam  walipokwenda kutoa msaada leo wa vyakula na vitu mbalimbali zikiwemo nguo ikiwa ni moja ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofikia tamati Machi 8, 2019.Mratibu wa utoaji msaada huo ambaye pia ni  Katibu wa Tughe mkoa wa Temeke, Litson Magawa, akizungumza wakati wa utoaji wa msaada huo. Mratibu wa Jinsia wa Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) Taifa, Nsubisi Mwasandende (kulia), akizungumza wakati wa kutoa msaada huo. Katibu wa Kamati ya Wanawake Tawi la Bohari ya Dawa (MSD) Theresia Mmbaga, akimkabidhi kiroba cha unga, Mama Mlezi wa Kituo hicho, Aminajati Kilemia wakati wa kukabidhi msaada huo.
  Katibu wa Kamati ya Wanawake Tawi la Bohari ya Dawa (MSD) Theresia Mmbaga, akimkabidhi fedha Mama mlezi wa kituo hicho.
 Katibu wa Kamati ya Wanawake Tawi la Bohari ya Dawa (MSD) T... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More