Tukinyimwa Tiketi Tutaaandamana, Nampenda Sana Zari.-Shiloleh - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tukinyimwa Tiketi Tutaaandamana, Nampenda Sana Zari.-Shiloleh

Mwanadada Shiloleh amefunguka na kusema kama endapo watanyimwa ticket ya kwenda kusherekea sherehe ya mtoto wa diamond huko Afrika yaKusini basi wataandamana kwa sababu walishapewa ahaadi ya kwenda nchini humo.


Akiongea na waandishi wa habari, shiloleh anasema kuwa kwake hana wasiwasi kwa sababu Diamond tayari alishamwambia amtumie paspoti yake ya kusafiria hivyo wala hana wasiwasi na safari lakini ikitokea kuwa hajapata tiketi basi ataandamana.


Hata hivyo , Shiloleh anasema kuwa kwake haoni sababu ya kumchukia Zari kwa sababu kama atamchukia basi atakuwa na wivu wala sio kitu kingine.lakini pia anasema kuwa watu wanaojifanya kumpenda sasa hivi walikuwa wapi pindi Diamond akitafuta mtoto.


tiketi ya nini wakati tayari tulishawekwa kwenye tiketi ya pamoja, na safari haijawa-cancelld, wewe nani kakwambia, tutaandamana.


wakati Nasibu alipokuwa anangaika kupata mtoto hakuna aliyejitokeza kumpa mtoto, dada wa watu katoka huko kaja kampa watoto wawili.mimi nitasema namchukia huyo dada kwa kip... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More