Tukio la kutekwa kwa MO Dewji laiibua LHRC - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tukio la kutekwa kwa MO Dewji laiibua LHRC

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la kupotea kwa Mfanyabiashara, Mohammed Dewji lililotokea jana alfajiri katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam, huku kikitoa wito kwa serikali na vyombo vya dola kuhakikisha mfanyabiashara huyo anapatikana akiwa hai. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kupitia tamko lake lililotolewa leo tarehe 12 Oktoba ...


Source: MwanahalisiRead More