Tuko tayari kukomesha ukatili wa kijinsia? - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tuko tayari kukomesha ukatili wa kijinsia?

Ikiwa mwezi huu ni mwezi maalum katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani, wanaharakati wa haki za binadamu, maafisa wa ustawi wa jamii, wamekiri kuendelea kuwepo kwa matukio ya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, huku sababu kubwa ya uwepo wa matukio hayo ni wengi wao kutojua haki zao na wapi pa kupeleka malalamiko yao.


Kipindi cha Ongea na Shangazi wiki hii kimewakutanisha Afisa wa Ustawi wa Jamii, kutoka wilaya ya Ilala bi Joyce Maketa na Afisa Sheria kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), bi Joanitha Mutayoba pamoja na mashangazi wawili Fatma Karume na Maria Sarungi, Je ukatili umeongezeka kwa kiasi gani na ni kundi gani hasa linakabiliwa na tatizo hili?. Kujua hili fatana na mashangazi kupitia video hapa chini
Tweet... Continue reading ->


Source: Kwanza TVRead More