Tukutane kwa Mchina - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tukutane kwa Mchina

JANGWANI kumenoga. Mizuka imepanda kwa mashabiki wa Yanga kiasi cha kupata nguvu za kuwatambia watano zao. Unajua nini? Baada ya kucheza kwa muda wa dakika 270 bila kupata ushindi kwenye Ligi Kuu Bara, Yanga jana Jumapili ilipata ushindi wao wa kwanza kwa kuinyuka JKT Tanzania, huku mashabiki wao wakiimba ‘Kama vipi.


Source: MwanaspotiRead More