TULIMKAMATA HALIMA MDEE KWA TUHUMA ZA KUTOA LUGHA CHAFU YA MATUSI KWA RAIS AKIWA NYUMBANI KWAKE-MRAKIBU WA POLISI URAFIKI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TULIMKAMATA HALIMA MDEE KWA TUHUMA ZA KUTOA LUGHA CHAFU YA MATUSI KWA RAIS AKIWA NYUMBANI KWAKE-MRAKIBU WA POLISI URAFIKI


Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Urafiki, Mrakibu wa Polisi (SP) Batseba Kasanga ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa alimkamata Halima Mdee kwa tuhuma za kutoa lugha chafu ya matusi kwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli akiwa nyumbani kwa wazazi wake.
Ameeleza kuwa, walipofika nyumbani kwa wazazi wa Mdee Ubungo Kibangu, alipokelewa na mama mzazi yake zazi ambaye baada ya kujitambukisha na mahojiani mafupi aliwaeleza wamsubiri Halima anajiandaa kwa kuwa alikuwa amepumzika kidogo.
Mrakibu Kasanga ambaye ni shahidi wa tatu wa upande wa mashtaka ameeleza hayo leo, Agosti 9,2018 wakati akitoa ushahidi dhidi ya kesi ya lugha ya matusi inayomkabili Mdee.Mdee anadaiwa, Julai 3,2017 katika Makao Makuu ya Ofisi ya Chadema,, alitamka maneno dhidi ya Rais John Magufuli kuwa “anaongea hovyohovyo , anatakiwa afungwe breki” na kwamba kitendo ambacho kingeweza kusababisha uvunjifu wa Amani.
Akiongozwa na wakili wa serikali Mwandamiz... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More