Tume ya Madini ipo tayari kukusanya bilioni 475 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tume ya Madini ipo tayari kukusanya bilioni 475

Na Issa Mtuwa “WM” – Tunduru, Mbinga na Iringa
Tume ya madini imesema ipo teyari kukusanya bilioni 475 katika mwaka wa fedha 2019/20 kama walivyopangiwa na serikali na kufikia malengo ya ukusanyaji kama ilivyofikia mwaka 2018/2019 ya kukusanya billion 310 ambapo malengo hayo ilivuka. 
Akiongea kwa nyakati tofauti akiwa wilayani Tunduru, Songea na Mbinga na Iringa Mwenyekiti wa Tume ya Madini Prof. Idris Kikula amesema hayo wakati wa vikao vyake na viongozi wa mikoa, wilaya, maafisa madini wa kaazi, viongozi na wachimbaji wadogo na wanunuzi wa madini kwenye maeneo yao akisisitiza kila mmojja kwa nafasi yake kuwajibika katika suala la usimamizi na ulipaji wa maduhuli ya serikali ili wafikie lengo hilo. 
Amesema serikali imeipangia Wizara ya Madini kukusanya jumla ya Tshs. bilioni 475 na wakusanyaji wa fedha hizo ni Tume ya madini na ili ifikie lengo la kukusanya kiwango hicho lazima wajipange kwa kila mdau anae husika kwa namna moja au nyinge awajibike kutimiza wajibu wake. 
“Ndugu ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More