TUME YAENDESHA WARSHA VYUO VYA ARDHI KUHUSU DHANA YA USHIRIKISHWAJI KATIKA UPANGAJI WA MATUMIZI YA ARDHI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TUME YAENDESHA WARSHA VYUO VYA ARDHI KUHUSU DHANA YA USHIRIKISHWAJI KATIKA UPANGAJI WA MATUMIZI YA ARDHI


Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) Dkt. Stephen Nindi akitoa mada wakati wa warsha ya ushirikishwaji wa wananchi katika upangaji, usimamizi na utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi nchini. 
Bwana Kent Nillson kutoka Taasisi ya Lantmateriet nchini Sweeden akitoa mada juu ya uzoefu wa nchini kwao kuhusu upangaji wa matumizi ya ardhi.   Mwanafunzi wa mwaka wa pili Ngeze Valentina wa kozi ya RDP akichangia mada wakati wa majadiliano juu ya ushirikishwaji wa wananchi katika upangaji, usimamizi na utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi.
Mshiriki wa warsha Kiteri Sophia kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi akitoa maoni yake juu ya ushiriki wa wanawake katika hatua za upangaji wa mipango ya matumizi ya ardhi.
 Baadhi ya washiriki wa warsha wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa warsha ya upangaji, usimamizi na utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi.


Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) kwa kushirikiana na T... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More