Tumia Nafasi Ya Leo Kufanya Maamuzi Haya Muhimu Kwa Mafanikio Yako Makubwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tumia Nafasi Ya Leo Kufanya Maamuzi Haya Muhimu Kwa Mafanikio Yako Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Moja ya vitu ambavyo vinawatofautisha wanaofanikiwa sana na wale wanaoshindwa ni maamuzi. Wale wanaofanikiwa huwa wanafanya maamuzi mara moja na kuyasimamia maamuzi hayo na kuchukua hatua katika kutekeleza maamuzi hayo. Wale wanaoshindwa huwa hawafanyi maamuzi, badala yake wanaendelea kutathmini wanaendelea kufikiria faida na hasara za kitu. Mpaka wanapofikia kufanya maamuzi wanakuwa wamechelewa... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More