Tundu Lissu afungua kesi ya kihistoria   - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tundu Lissu afungua kesi ya kihistoria  

HATIMAYE yametimia. Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametinga mahakamani kupinga hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kumvua ubunge wake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Lissu, mmoja wanasheria mashuhuri nchini, amefungua shauri la kupinga kuvuliwa ubunge wake, kwenye Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, jana Jumatano, ...


Source: MwanahalisiRead More