Tundu Lissu ‘kujinoa’ Marekani, Ulaya - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tundu Lissu ‘kujinoa’ Marekani, Ulaya

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekwenda Marekani na baadaye Ulaya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Nchini Marekani, Lissu anatarajia kufanya mazungumzo na viongozi wa Serikali ya Washington. Kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo tarehe 3 Oktoba 2019, mwanasiasa huyo atazungumza na viongozi wa Marekani katika ziara ya siku 11 nchini ...


Source: MwanahalisiRead More