TUNZO YA USHAIRI YA EBRAHIM HUSSEIN YAFANA JIJINI DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TUNZO YA USHAIRI YA EBRAHIM HUSSEIN YAFANA JIJINI DAR

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (wa pili toka kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa kwanza Godfrey Ndekikwa aliyeshinda na ushairi wa Sikio Liso Dawa.Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (katikati), akimkabidhi hundi kwa mshindi wa kwanza, Godfrey Ndekikwa aliyeshinda na ushairi wa Sikio Liso Dawa.Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita wa kwanza kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na washindi.Moja ya vitabu vya mwasisi wa Tunzo ya Ebrahim Hussein.Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (wa pili toka kushoto), akimkabidhi hundi kwa mshindi wa pili, Bashiru Abdallah  (wa kwanza kulia) aliyetoka na ushairi wa Nilinde. Mshindi wa tatu wa Tunzo ya ushairi ya Ebrahim Hussein, BiMkubwa Salim Sulemani aliyeandika ushairi wa  Moyo Kichaa cha Mtu.Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, akimkabidhi hundi kwa mshindi wa tatu, BiMkubwa Salim Sulemani (kulia). Msanii Mrisho Mpoto akitoa nasaha zake wa ma... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More