“TUSICHANGANYE SIASA KWENYE MAENDELEO” – GAVANA SHILATU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“TUSICHANGANYE SIASA KWENYE MAENDELEO” – GAVANA SHILATU


Na Mwandishi Wetu, Mihambwe 
Mara nyingi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amekuwa akisisitiza maendeleo hayana chama akiwa na maana kwenye suala la maendeleo tuweke pembeni itikadi za kisiasa na tuungane kuleta maendeleo. 
Kauli inayofanana na hiyo imesemwa na Afisa Tarafa wa Mihambwe, Gavana Emmanuel Shilatu wakati alipotembelea mradi wa maji wa kijiji cha Mihambwe uliopo kata ya Mihambwe ambapo ameshangazwa na mradi mzuri wa maji kutokufanya kazi kutokana na misuguano ya kisiasa. 
“Hii tabia ya kupangua pangua maamuzi halali ya vikao, tabia ya mivutano ya kisiasa isiyo na tija ni sehemu ya tatizo ya kusimama kwa mradi huu. Ulivyo simama mmepata faida gani? Wewe uliyesababisha hauathiriki na tatizo la ukosefu wa maji? Acheni hizi tabia, tushirikiane kwa pamoja tuhakikishe mradi huu wa maji ufanye kazi tena kama awali” alisema Gavana Shilatu wakati alipotembelea eneo lilipo mradi huo wa maji. 
Wakizungumza mara baada ya ziara hiyo, Mjumbe wa S... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More