TUTAJUA SABABU YA KUTEKWA KWA MO DEWJI AKIPATIKANA, NA TANZANIA NI NCHI SALAMA - LUGOLA. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TUTAJUA SABABU YA KUTEKWA KWA MO DEWJI AKIPATIKANA, NA TANZANIA NI NCHI SALAMA - LUGOLA.

*Waziri wa Mambo ya Ndani asema tukio 
la MO si kigezo cha kuingiwa hofu kuwekeza nchini 
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii 
SERIKALI imewahakikishia Watanzania na dunia kwa ujumla kwamba Tanzania ni nchi usalama ya kuwekeza na tukio la kutekwa kwa mfanyabiasbafa Mohammed Dewji lisiwape hofu. 
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amesema si sawa kutumia tukio la kutekwa kwa MO kama kigezo cha kuifanya Tanzania kuonekana si mahala na kuwahakikishi nchi iko salama na kufafanua hakuna nchi iliyosalama zaidi ya Tanzania. 
"Mimi niwahakikishie Watanzania na dunia kwa ujumla kwamba nchi yetu iko salama na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara kwetu ni geni na limetushutukiza.Hata hivyo nitoe rai nchi ya Tanzania ni salama na wawekezaji wake kuwekeza tu,tuko salama sana," amesema Waziri Lugola. 
Ametoa kauli hiyo baada ya waandishi wa habari kutaka kufahamu iwapo tukio la kutekwa kwa MO Dewji linaweza kusababisha kuwatia hofu wawekezaji na kutumia nafasi hiyo kuhakikisha nchi iko... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More