Tuzo bora za Fifa: Klabu za Uingereza zatawala orodha ya wachezaji walioteuliwa katika kikosi bora cha Fifa - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tuzo bora za Fifa: Klabu za Uingereza zatawala orodha ya wachezaji walioteuliwa katika kikosi bora cha Fifa

Ligi ya Uingereza ina idadi kubwa ya wachezaji waliochaguliwa kuorodheshwa miongoni mwa kikosi bora cha Fifa cha wachezaji 11 katika kipindi cha miaka kumi.


Source: BBC SwahiliRead More