TVP, UNICEF NA WIZARA YA AFYA ZAHITIMISHA SEMINA ZA ‘JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA’ KWA WADAU WA JAMII - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TVP, UNICEF NA WIZARA YA AFYA ZAHITIMISHA SEMINA ZA ‘JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA’ KWA WADAU WA JAMII


Semina tatu zilizoandaliwa na Kampuni ya True Vision Production (TVP) kwa kushirikiana na UNICEF Tanzania na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto za kampeni ya ‘Jiongeze Tuwavushe Salama’ kwa wahariri, viongozi wa dini na waandishi wa habari zimemalizika katika Hotel ya Regency, jijini Dar es Salaam.
Semina hizo zilikuwa na lengo la kuelimisha makundi haya matatu (wahariri, viongozi wa dini na waandishi) juu ya umuhimu wao wa kushiriki katika kampeni ya ‘Jiongeze Tuwavushe Salama’ yenye lengo la kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto. Tahseen Alam, Mtaalamu wa Mawasiliano kutoka UNICEF Tanzania amesema serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau imekuwa ikifanya jitihada kubwa katika miaka 10 iliyopita ya kuokoa vifo vya mama na mtoto, ikiwemo eneo la chanjo ambapo watoto wengi na mama wajawazito wanapatiwa.
Lakini kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Mtaalamu wa Mawasiliano mwenzake kutoka UNICEF, Usia Nkoma, Tanzania bado ina safari ndefu ya kut... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More