Twaweza wafunguka kusambaza barua ya Costech na ishu ya kutotambulika (Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Twaweza wafunguka kusambaza barua ya Costech na ishu ya kutotambulika (Audio)

Saa chache baada ya Tume ya Sayansi na Teknolojia, (Costech) kusema wamesikitishwa na kitendo cha kusambaa mitandaoni kwa barua waliyowaandikia taasisi ya Twaweza, Meneja wa Utetezi wa Twaweza, Anastasia Rugava amesema hawajahusika kuisambaza hiyo barua kama Costech wanavyodai.The post Twaweza wafunguka kusambaza barua ya Costech na ishu ya kutotambulika (Audio) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More