Twitter sasa kuhakikisha usalama kwenye mazungumzo - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Twitter sasa kuhakikisha usalama kwenye mazungumzo

Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinasema kuwa Twitter wapo mbioni kutumia mtindo wa kulinda ujumbe wa watumiaji wake wa mazungumzo yao yanakuwa yanaweza kusomwa kati ya watu wawili tu. Utaratibu huo (end-to-end) hufanya mazungumzo yote yanayofanywa na watu wawili kubaki kuwa siri bila ya kuweza kuingiliwa na mtu wa tatu. Mjuzi wa kuandika programu mwenye [...]


The post Twitter sasa kuhakikisha usalama kwenye mazungumzo appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More