TZS BILIONI TANO ZIMETENGWA KWA AJILI YA UJENZI WA STUDIO ZA REDIO NA LUNINGA ZA TBC JIJINI DODOMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TZS BILIONI TANO ZIMETENGWA KWA AJILI YA UJENZI WA STUDIO ZA REDIO NA LUNINGA ZA TBC JIJINI DODOMA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Ulemavu Antony Mavunde akijibu swali leo Bungeni Jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.
Na Shamimu Nyaki –WHUSM.
Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni tano kwa ajili ya ujenzi wa studio za Redio na Runinga za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika makao makuu ya nchi Dodoma.
Hayo yamesemwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Sera,Bunge, Kazi ,Ajira, Vijana na wenye ulemavu Mhe. Antony Mavunde alipokua akijibu swali la Mhe. Anna Richard Lupembe (Viti Maalum) kwa niaba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe aliyeuliza ni lini Redio Tanzania (TBC Taifa) itasikika katika kata za Ilela na Ilunde Wilayani Mlele.
Akijibu swali hilo Mhe. Mavunde amesema kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kupanua usikivu wa TBC katika Mikoa na Wilaya ambazo hazina usikivu au kuwa na usikivu hafifu ambapo katika bajeti ya mwa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More