UADILIFU NI PAMOJA NA KUHAKIKISHA FEDHA ZA WADHAMINI WA MASHINDANO ZINAWAFIKIA WALENGWA KWA WAKATI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UADILIFU NI PAMOJA NA KUHAKIKISHA FEDHA ZA WADHAMINI WA MASHINDANO ZINAWAFIKIA WALENGWA KWA WAKATI

Na Mahmud Zubeiry, DAR ES SALAAM
MACHI 15, mwaka huu, Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ilimfungia maisha Makamu wa Rais wa shirikisho hilo, Michael Wambura kutojihusisha na masuala ya soka kwa makosa matatu.
Taarifa ya TFF siku hiyo ilisema kwamba hatua hiyo imechukuliwa kwa mujibu wa kifungu cha 73(1) (c) cha Kanuni za Maadili ya TFF Toleo la 2013. 
Hiyo ni baada ya kikao chake cha Machi 14, mwaka huu ambacho pamoja na mambo mengine, kilimjadili Wambura aliyefikishwa kwenye kamati hiyo kwa makosa matatu ya kupokea fedha za TFF malipo yasiyo halali, kugushi barua na kushusha hadhi ya TFF.
Wambura alifikishwa kwenye kamati ya Maadili na Sekretarieti ya TFF baada ya Kamati ya Ukaguzi kukutana na kupitia mambo mbalimbali ya ukaguzi na suala hilo la Wambura kuonekana linatakiwa kufika kwenye Kamati ya Maadili.

Mtibwa Sugar wakisherehekea na taji lao la Azam Sports Federation Juni 2, mwaka huu mjini Arusha

Na Agosti 27, mwaka huu, Kamati hiyo hiyo ya Maadili ikamfungia mais... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More