Ubakaji Sierra Leone: Zaidi ya visa 8,500 vya ubakaji viliripotiwa mwaka uliyopita - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ubakaji Sierra Leone: Zaidi ya visa 8,500 vya ubakaji viliripotiwa mwaka uliyopita

Sierra Leone imetangaza ubakaji na dhulma zingine za kijinsia kuwa janga la kitaifa baada ya viwango vya visa hivyo kkuvunja rekodi mwaka jana.


Source: BBC SwahiliRead More