Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kwa raia wake kuhusu sakata la ushoga - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kwa raia wake kuhusu sakata la ushoga

Raia wa Marekani walioko Tanzania waonywa kuhusu vita dhidi ya ushoga vilivyopangwa kuanzishwa, washauriwa kuwa makini kila waendako na kuhakikisha wametoa picha zao kwenye mitandao ya kijamii au chochote kitaashiria mienendo ya kishoga.


Pia wameagizwa endapo yeyote atakamatwa, ubalozi wa Marekani ufahamishwe mara moja.


The United States has warned its citizens in Tanzania to be cautious after commercial capital Dar es Salaam announced a crackdown on homosexuality, which is a criminal offence in the East African country.


In an alert on its website late on Saturday, the U.S. Embassy in Tanzania advised Americans to review their social media profiles and internet footprints.


“Remove or protect images and language that may run afoul of Tanzanian laws regarding homosexual practices and explicit sexual activity,” it said.


The alert said any U.S. citizen who was detained or arrested should ensure the Tanzanian authorities informed the embassy.


Dar es Salaam’s administrative chief Paul ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More