UberEats Kuhamia Katika App Ya Uber! - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UberEats Kuhamia Katika App Ya Uber!

Kumbuka tulishawahi andika kuhusu App ya UberEats, App ambao inawawezesha watu kuagiza na kuletewa msosi, kwa sasa kampuni mama yaani Uber imeona ni vyema kabisa kwa App hiyo kuhama na kuingia ndani ya App kuu. Kuhusu Uber Eats Soma Tena Hapa Lakini japokua kutakuwa na mabadiliko hayo (UberEats ndani ya Uber) bado App ya UberEats ambayo [...]


The post UberEats Kuhamia Katika App Ya Uber! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More