UCHAFU NI ADUI WA AFYA YAKO,YATUNZE MAZINGIRA YAKO YAKUTUNZE. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UCHAFU NI ADUI WA AFYA YAKO,YATUNZE MAZINGIRA YAKO YAKUTUNZE.

 Mfanyabiashara wa Matunda akiendelea na biashara yake huku pembeni kukiwa na mtaro wa maji machafu katika eneo la Mbagala jijini Dar as Salaam,jambo ambalo ni hatari kwa afya ya walaji.Wananchi wanaaswa kutunza mazingira yao na kuwa safi kuepukana na magonjwa mbalimbali yanayoweza kusababishwa na uchafu. Maandalizi ya biashara ndogondogo yakiendelea katika eneo la Mbagala jijini Dar as Salaam.Maandalizi ya biashara ndogondogo yakiendelea katika eneo la Mbagala jijini Dar as Salaam. (Picha zote  na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More