Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi

Fayulu ambaye ameshindwa na mgombea mwengine wa upinzani katika matokeo ya awali amesema nchi lazima "ijue ukweli" wa matokeo hayo yanayotiliwa shaka.


Source: BBC SwahiliRead More