Uchaguzi DRC: Mgombea wa upinzani Martin Fayulu amepinga matokeo ya uchaguzi huo mahakamani - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uchaguzi DRC: Mgombea wa upinzani Martin Fayulu amepinga matokeo ya uchaguzi huo mahakamani

Muungano wa maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC, umetoa wito wa kubuniwa kwa serikali ya muungano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mzozo uliokumba matokeo ya uchaguzi wa urais


Source: BBC SwahiliRead More