Uchaguzi Yanga wasimamishwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uchaguzi Yanga wasimamishwa

Baadhi ya wanachama wa Yanga wamepanga kwenda kuweka zuio mahakamani leo Ijumaa ili uchaguzi huo wa kuziba nafasi ya Mwenyekiti na Makamu wake sambamba na Wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji, usifanyike Jumapili.


Source: MwanaspotiRead More