Uchaguzi2019 DRC: Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa tume ya uchaguzi DR Congo - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uchaguzi2019 DRC: Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa tume ya uchaguzi DR Congo

Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo maafisa watatu wa tume ya uchaguzi nchini DR Congo pamoja na wale wa serikali ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Joseph kabila kwa tuhuma za ufisadi.


Source: BBC SwahiliRead More