Uchunguzi wa BBC: Njaa yawauwa wafungwa ndani ya magereza ya DRC - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uchunguzi wa BBC: Njaa yawauwa wafungwa ndani ya magereza ya DRC

Katika mji wa Mbanza Ngungu takriban wafungwa 40 walizikwa mwezi Machi pekee, kwa mujibu wa mwandishi wa BBC wa mjini Kinshasa Emery Makumeno aliyefanya uchunguzi kwenye gereza hilo.


Source: BBC SwahiliRead More