Udukuzi WhatsApp: Udukuzi mkubwa umefanyika kwa watumiaji wa WhatsApp - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Udukuzi WhatsApp: Udukuzi mkubwa umefanyika kwa watumiaji wa WhatsApp

Udukuzi WhatsApp. Jumanne hii WhatsApp ambayo ipo chini ya Facebook imeomba usaidizi rasmi wa wizara ya Sheria ya Marekani katika uchunguzi juu ya udukuzi uliofanywa na watu wanaonekana kuwezeshwa na serikali. WhatsApp wamesema huduma yao imefanyiwa udukuzi wa kupata nafasi ya kufikia mtumiaji yeyote wa WhatsApp na kuchunguza simu ya mtu husika bila mtumiaji simu [...]


The post Udukuzi WhatsApp: Udukuzi mkubwa umefanyika kwa watumiaji wa WhatsApp appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More