UEFA: KIPI KILICHOWAFANYA ATLETICO KUPOTEZA NA JUVENTUS KUSHINDA JANA? - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UEFA: KIPI KILICHOWAFANYA ATLETICO KUPOTEZA NA JUVENTUS KUSHINDA JANA?


Utakubaliana nami kuwa UEFA ya mwaka huu imejaa matokeo tusiyiyatarajia mengi sana. Kuanzia kwa kutolewa kwa mabingwa watetezi Real Madrid na makinda wa Ajax, kutolewa kwa Borussia Dortmund bila wao kufunga goli kwenye mechi zote 2, Kutolewa kwa PSG na Man United wakati walikuwa wakiongoza 2-0 kutoka katika mechi ya kwanza, na sasa Juventus Kupindua matokeo mbele ya Atletico Madrid. 
Wengi tuliwapa nafasi kubwa sana Atletico kwenda kulinda ushindi wao wa kwanza wa 2-0 walioupata kule Hispania na hata kupata japo goli 1 au 2 katika mechi hiyo kupitia wakali wao kama Antonio Griezmann na Alvaro Moratta. Mechi iliisha kwa matokeo ya Juventus 3-0 Atletico Madrid na kufanya Juventus wafuzu kwenda hatua ya robo fainali. 
Hebu tuangalie zipi zilikuwa sababu za Juventus kufanikiwa hapo jana na Atletico kufeli:
1. ATLETICO MADRID KUPAKI BASI:Hii naweza kusema ndio sababu kubwa ya Atletico kupoteza mechi ya jana. Tokea dakika za mwanzo, kocha Diego simeone alikuwa akisisitiza ulinzi mkubwa kuanzi... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More