UEFA kuja na michuano mingine ya tatu baada ya  Champions na Europa League - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UEFA kuja na michuano mingine ya tatu baada ya  Champions na Europa League

Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza kuanzisha mashindano mapya ngazi ya klabu yatakayo kwenda sanjari na ile ya UEFA Champions League na Europa League msimu wa mwaka 2021/22.
Kwa mujibu wa rais wa chama cha vilabu barani Ulaya (ECA), Andrea Agnelli amewaambia wanachama wake hii leo siku ya Jumanne katika mkutano mkuu unaofanyika nchini Croatia.


Inatarajiwa hatua za makundi ya Europa League itapunguzwa kutoka 48 hadi 32 katika michuano hiyo mipya. Hata hivyo hijawekwa wazi namna mfumo huo utakavyo fanya kazi huku mfumo huo ukilenga kuviongezea mapato klabu za barani Ulaya.


The post UEFA kuja na michuano mingine ya tatu baada ya  Champions na Europa League appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More