UEFA: Man City yakwama nyumbani Etihad, yachapwa 2-1 na Lyon - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UEFA: Man City yakwama nyumbani Etihad, yachapwa 2-1 na Lyon

Kampeni ya Manchester city kwenye mashindano ya Klabu bingwa barani Ulaya imeingia doa baada kuanza vibaya kama mabingwa watetezi wa ligi kuu England akipoteza mbele ya Lyon katika uwanja wa Etihad.


Source: BBC SwahiliRead More