UEFA: Manchester City yachapwa 2-1 na Lyon nyumbani Etihad, Man Utd washinda 3-0 - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UEFA: Manchester City yachapwa 2-1 na Lyon nyumbani Etihad, Man Utd washinda 3-0

Kampeni ya Manchester city kwenye mashindano ya Klabu bingwa barani Ulaya imeingia doa baada kuanza vibaya kama mabingwa watetezi wa ligi kuu England akipoteza mbele ya Lyon katika uwanja wa Etihad.


Source: BBC SwahiliRead More