Ufahamu ujumbe wa michoro iliyochongwa katika mawe ya Nyero wilayani Kumi nchini Uganda - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ufahamu ujumbe wa michoro iliyochongwa katika mawe ya Nyero wilayani Kumi nchini Uganda

Maeneo matatu yenye mawe makubwa wilayani Kumi mashariki mwa Uganda yana michoro ya kale yenye umri wa karne kadhaa za nyuma. Je michoro hiyo ina maana gani?


Source: BBC SwahiliRead More