UFUNGUZI RASMI WA MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UFUNGUZI RASMI WA MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR

Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Tanzania, wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Rwanda wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.Kikundi cha Ngoma cha Maringo kikitoa burudani, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia wananchi, katika ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipuliza filimbi kuashiria ufunguzi ra... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More