ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam

 Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Tanzania,  wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018 Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Rwanda  wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018 Kikundi cha Ngoma cha Maringo kikitoa burudani, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia wananchi, katika ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipuliza filimbi kuashiria... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More