Uganda kufa au kupona kwa Serengeti Boys Afcon - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uganda kufa au kupona kwa Serengeti Boys Afcon

Baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Angola, Kocha mkuu wa timu ya Taifa Uganda chini ya miaka 17, Samuel Kwesi amesema wanataka kushinda mechi yao ijayo dhidi ya Tanzania ili kufufua matumaini yao ya kufuzu kwaFainali za Kombe la Dunia Brazil.


Source: MwanaspotiRead More