UHABA WA NAFASI CHANGAMOTO NAMBA MOJA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UHABA WA NAFASI CHANGAMOTO NAMBA MOJA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE

Mkurugenzi Mtendaji aeleza mikakati iliyopo kuondoa changamoto hiyo
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) Profesa Mohamed Janabi amesema pamoja na mafanikio makubwa ambayo wameyapata katika kipindi cha miaka mitatu ya uwepo wa taasisi changamoto namba kwao ni ufinyu wa nafasi.
Profesa Janab ambaye ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya moyo amesema uwepo wa taasisi hiyo imesaidia kuokoa mamia ya Watanzania ambao wamekuwa wakitibiwa hapo lakini akiulizwa changamoto inayowakabili ni nafasi.Ameeleza hayo wakati anazungumza na Michuz Blog kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam ambapo ametumia nafasi hiyo kwa sehemu kubwa kuzungumzia mafanikio lakini pia amezungumzia changamoto.
"Nikiulizwa leo changamoto kubwa hapa kwetu ni nafasi.Kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaokuja hapa kwetu tumejikuta tunakabiliwa na uhaba wa nafasi." Bahati nzuri kuna mazungumzo yanaendelea ya kupatikana kwa jengo jingine ingawa hajaf... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More