UHAMASISHAJI WA USAFI WA MAZINGIRA WILAYA YA CHEMBA WAFANYIKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UHAMASISHAJI WA USAFI WA MAZINGIRA WILAYA YA CHEMBA WAFANYIKA

Na Shani AmanziMkuu wa Wilaya ya Chemba Simon Odunga amewataka Wananchi wa Chemba kujali afya zao kwa kufanya usafi wa mazingira kuanzia majumbani kwao ikiwemo  kuwa na vyoo bora ili kuzuia magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindu pindu.
Mhe.Simon Odunga ameungana sambamba na Rais wa  Awamu ya Tano Mhe ,Rais John Pombe  Magufuli  na kuridhia ,Tamko la Rais la kuhakikisha kaya zote katika Wilaya  ya Chemba zinakuwa na vyoo bora.
 “Ntahakikisha kila kaya inakuwa na vyoo bora na kuvitumia  ,kwa kaya nyingine ambazo hazina vyoo naelekeza  kwa viongozi wenzangu na vijana  kama tulivyokubaliana  kuanzia 25/12/2018  kila kaya iwe na choo bora na kukitumia na kuagiza viongozi wotewanaohusika katika  ngazi zote za wilaya, Kata,Tarafa ,Vijiji na Vitongoji kusimamia kikamilifu agizo langu hili”aliongeza kwa kusema  hivyo Mhe.Simon Odunga.
Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Dkt.Semistatus  Mashimba ameipongeza Wizara  ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More