UHOLANZI YAICHAPA 2-0 UFARANSA NA KITUPA NJE UJERUMANI LIGI YA ULAYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UHOLANZI YAICHAPA 2-0 UFARANSA NA KITUPA NJE UJERUMANI LIGI YA ULAYA

Memphis Depay akishangilia baada ya kuifungia Uolanzi bao la pili kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Feyernoord mjini Rotterdam katika mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa Ulaya. Bao la kwanza la Uholanzi lilifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 44 na kwa matokeo hayo, Ujerumani inashushwa daraja katika kundi hilo, huku kikosi cha Ronald Koeman kikitofautiana kwa pointi moja tu sasa na vinara, Ufaransa huku ikiwa imebakiza mechi moja Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More