Uhujumu uchumi NIDA: TAKUKURU wamtaka kumhoji upya mtuhumiwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uhujumu uchumi NIDA: TAKUKURU wamtaka kumhoji upya mtuhumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeombwa kufanya mahojiano upya na Xavery Kayombo, anayeshitakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi wa taifa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kayombo ni mshitakiwa Na. 5 kwenye kesi hiyo inayomkabili pia Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu.  Mshtakiwa huyo anatakiwa kuhojiwa upu kwenye ...


Source: MwanahalisiRead More