Uimara Wangu Unatokana na Mwanamke Niliyenae ;-Casto Dickson - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uimara Wangu Unatokana na Mwanamke Niliyenae ;-Casto Dickson

Mtangazaji kutoka Clouds Media anasema kuwa wa sasa hana anachojali pale anapokuwa anaongelewa kwa sababu ya kuwa imara kutokana na mtu aliyenae katika mahusiano ambae ni Tunda.


Mimi binafsi mitandao haijafanikiwa kuniumiza kabisa katika kipindi hiki uwezi amini , tangu nimeingia katika mhusiano na Tunda  na matatizo ya misiba yaliyotokea, ninaamini kuwa uimara wangu umejengwa na mwanamke ambae kwa sasa niko nae katika mahusiano.


Casto anasema kuwa sababu kubwa anayoamini kuwa Tunda ndio uimara wake kwa sababu Tunda amekuwa akitukanwa sana katika mitandao ya kijamii  kwa muda mrefu hivyo amekuwa akipata ujasiri kutoka kwake kwasababu yeye alishayapitia hayo.


Hii inatokana na mishale mingi ambayo yeye amekutana nae katika mitandao ya kijamii,kwaio kwa uimara wangu naona kabisa kuwa sihitaji kuliongelea hilo kwa sababu ninapaswa kulitumia   kama mwanaume.


Casto anasema kuwa amekuwa akisemwa atangu hata mtoto bado hajafariki hivyo kwake ni kitu cha kawaida ukizingatia kuwa wameshasema... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More